TUC Institutional Repository

Dhima ya Kiswahili katika Elimu ya Watu Wazima katika Kaunti ya Turkana

Show simple item record

dc.contributor.author Edward Ekadeli Lokidor
dc.date.accessioned 2026-07-06T09:03:51Z
dc.date.available 2026-07-06T09:03:51Z
dc.date.issued 2026-01-01
dc.identifier.uri http://repository.tuc.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/628
dc.description.abstract Makala hii inaeleza dhima ya Kiswahili katika mchakato wa ufunzaji na ujifunzaji wa darasa la elimu ya watu wazima (Ngumbaru) katika kaunti ya Turkana. Data ya utafiti ilikusanywa nyanjani kupitia mahojiano na uchunzaji. Nadharia ya Kitamaduni ya Vygotsky ilielekeza uchanganuzi wa data. Data ilichanganuliwa na kuwasilishwa kimaelezo. Matokeo ya utafiti yalidhihirisha kwamba wanafunzi wa elimu ya watu katika kaunti ya Turkana wana ugumu wa kuelewa Kiingereza ambacho ni lugha ya ufundishaji na ujifunzaji wa masomo yote isipokuwa Kiswahili. Kutokana na ugumu wa kuelewa Kiingereza walimu hulazimika kutumia Kiswahili ili kurahisisha uelewa wa matini katika kipindi darasani. Matokeo ya utafiti huu yataboresha kiwango cha elimu ya watu wazima na kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika nchini Kenya. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject Ufunzaji, Ujifunzaj,Lugha, Elimu watu en_US
dc.title Dhima ya Kiswahili katika Elimu ya Watu Wazima katika Kaunti ya Turkana en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Repository


Advanced Search

Browse

My Account