Abstract:
Makalahiiinachunguza sitiari za utambuzi kamawenzo wakusawiriuongozi mbaya katika riwaya ya Nguu za Jadi. Kwa kutumiambinu yauhakikiwa matinina muundo wa kiuthamano,makala hiiinachanganuasitiariza utambuzina nukuu zilizosampuliwa kimaksudi kutoka kwa riwaya ya Nguu za Jadiili kupambanuatabia za wahusikaviongozina namna zinavyosababisha changamotoza kisiasapamoja na uongozi mbaya. Matokeoya utafiti huuyanaonyesha kuwa,sitiariimetumika katika riwaya ya Nguu za Jadikupambanuahulka mbaya ya viongozi,madhara yauongozi mbaya, na piakuonyeshauwezekano wakuwepo kwamageuzi chanya kwa kuwashirikisha vijanakatika uongozi namaendeleo ya kijamii.Makala hiihivyo basi,inathibitisha kwamba sitiari situtamathali ya usemi, balipianimkabalawakifalsafaunaosaidia kuelewa uhusiano kati ya uongozi, tabia za kibinafsi, na madhara yake kwa jamii