TUC Institutional Repository

Sitiari za Utambuzi kama Wenzo wa Kusawiri Uongozi Mbaya katika Riwaya ya Nguu za Jadi

Show simple item record

dc.contributor.author Simon Esekon Ekiru, Edward Ekadeli Lokidor
dc.date.accessioned 2026-07-14T07:48:28Z
dc.date.available 2026-07-14T07:48:28Z
dc.date.issued 2025-03-03
dc.identifier.uri http://repository.tuc.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/662
dc.description.abstract Makalahiiinachunguza sitiari za utambuzi kamawenzo wakusawiriuongozi mbaya katika riwaya ya Nguu za Jadi. Kwa kutumiambinu yauhakikiwa matinina muundo wa kiuthamano,makala hiiinachanganuasitiariza utambuzina nukuu zilizosampuliwa kimaksudi kutoka kwa riwaya ya Nguu za Jadiili kupambanuatabia za wahusikaviongozina namna zinavyosababisha changamotoza kisiasapamoja na uongozi mbaya. Matokeoya utafiti huuyanaonyesha kuwa,sitiariimetumika katika riwaya ya Nguu za Jadikupambanuahulka mbaya ya viongozi,madhara yauongozi mbaya, na piakuonyeshauwezekano wakuwepo kwamageuzi chanya kwa kuwashirikisha vijanakatika uongozi namaendeleo ya kijamii.Makala hiihivyo basi,inathibitisha kwamba sitiari situtamathali ya usemi, balipianimkabalawakifalsafaunaosaidia kuelewa uhusiano kati ya uongozi, tabia za kibinafsi, na madhara yake kwa jamii en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject Sitiari,Sitiari za utambuzi, Uongozi mbaya, Tabia mbaya, na Wenzo. en_US
dc.title Sitiari za Utambuzi kama Wenzo wa Kusawiri Uongozi Mbaya katika Riwaya ya Nguu za Jadi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search Repository


Advanced Search

Browse

My Account