| dc.contributor.author | Edward Ekadeli Lokidor | |
| dc.date.accessioned | 2026-07-14T08:00:47Z | |
| dc.date.available | 2026-07-14T08:00:47Z | |
| dc.date.issued | 2026-01-20 | |
| dc.identifier.uri | http://repository.tuc.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/663 | |
| dc.description.abstract | Makala hii inaeleza dhima ya Kiswahili katika mchakato wa ufunzaji na ujifunzaji wa darasa la elimu ya watu wazima (Ngumbaru) katika kaunti ya Turkana. Data ya utafiti ilikusanywa nyanjani kupitia mahojiano na uchunzaji. Nadharia ya Kitamaduni ya Vygotsky ilielekeza uchanganuzi wa data. Data ilichanganuliwa na kuwasilishwa kimaelezo. Matokeo ya utafiti yalidhihirisha kwamba wanafunzi wa elimu ya watu katika kaunti ya Turkana wana ugumu wa kuelewa Kiingereza ambacho ni lugha ya ufundishaji na ujifunzaji wa masomo yote isipokuwa Kiswahili. Kutokana na ugumu wa kuelewa Kiingereza walimu hulazimika kutumia Kiswahili ili kurahisisha uelewa wa matini katika kipindi darasani. Matokeo ya utafiti huu yataboresha kiwango cha elimu ya watu wazima na kupunguza idadi ya watu wazima wasiojua kusoma na kuandika nchini Kenya. | en_US |
| dc.language.iso | en | en_US |
| dc.subject | Ufunzaji, Ujifunzaj,Lugha, Elimu watu. | en_US |
| dc.title | Dhima ya Kiswahili katika Elimu ya Watu Wazima katika Kaunti ya Turkana | en_US |
| dc.type | Article | en_US |